Kuwa M bia na AL ni dhamira ya kifedha kwa miezi Sita (6) kusimama na mtumishi wa Mungu na kusaidia huduma katika kujenga Ufalme wa Mungu.

Kategoria
Ubia na AL unakupa nafasi ya kuchagua kutoka kategoria mbalimbali.
Pamoja na kuchagua kategori fulani mwanzo wa ushirika, kuna uwezekano wa kuongeza au kupunguza kiwango cha Ubia mwanzoni mwa msimu wa ushirika au hata katikati ya msimu wa ushirika

$250- $1000
kwa mwezi
kwa miezi 6



$1250- $2450
kwa mwezi
kwa miezi 6
$2500- $4950
kwa mwezi
kwa miezi 6
$5000- $30 000
kwa mwezi
kwa miezi 6

$50 000- $55 000
kwa mwezi
kwa miezi 6
Sheria na Kanuni
U bia na AL
-
1.Ubia na AL ni Ubia wa kifedha kati ya Mpanda mbegu katika ufalme na pastor Alph Lukau kujenga ufalme na kueneza Injili.
-
Ubia na AL ni dhamira inayodumu kwa miezi 6.
-
Baada ya miezi 6 ubia na AL utamalizika kiotomati.
-
Mzunguko wa ubia ni mwezi Januari mpaka Juni (I-VI) na Mwezi Julai mpaka December (VII-XII)
-
Unaweza kujiunga na Ubia na AL wakati wowote wa mwaka hata katikati ya kipindi cha ubia.
-
6. Wabia na AL wote wa sasa watapewa masasisho na maelezo ya ziada kupitia barua pepe na kupitia kikundi cha utangazaji cha WhatsApp.
Malipo
1. Kuna kategoria tofauti vya ubia ambavyo unaweza kuchagua(Silva, Gold, Diamond, Platinam na Royal givers(watoaji wa kifalme).
2. Malipo ya Ubia na AL yanaweza kufanyika kwa njia mbalimbali
- kwa fedha taslimu ofisini
- Kupitia Ubia na AL Fomu ya Malipo
- Kupitia njia za kawaida za utumaji wa pesa(tafadhali weka “Ubia na AL” kama kichwa cha kutuma.
3. Malipo yote ya mtandaoni yatafuatiwa na uthibitisho wa malipo kupitia barua pepe. Tafadhali, tambua kuwa uthibitisho wa malipo utatumwa ndani ya masaa ya kazi (Jumatatu -Ijumaa).
4. Pamoja na kuchagua kiwango cha Ubia, inawezekana kuboresha au kupunguza kiwango cha ubia wakati wowote. Kubadili kiwango cha ubia, tafadhali tuandikie.
Baruapepe: alpartners@alleluiaministries.com
Matumizi ya Fedha
Kama mwangalizi mkuu, pastor Alph Lukau anahifadhi haki ya kuamua jinsi pesa zitakavyogawanywa katika kuujenga Ufalme wa Mungu.
Matukio ya Wabia na AL
-
Chakula cha jioni na matukio mengine ni fursa ya Wabia na AL kuwa na muda wa kukusanyika pamoja
-
Chakula cha jioni na matukio mengine yatafanyika kila baada ya miezi 6 ya ushirika.
"
Maliza kuzimu
Ijaze Mbingu
Alph Lukau